JakayaKikwete2010

Karibuni kwenye blogspot Jakaya Kikwete 2010. Blogspot hii ina habari za siku 70 za Kampeni ya Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi Jakaya Mrisho Kikwete. Blog hii haitakuwa na habari baada ya tarehe 30 Oktoba, 2010

11/05/2010

Matokeo ya Uchaguzi Tanzania

›
Matokeo ya uchaguzi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mujibu wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa.   Walio piga kura 8,626,283 – 42.84% Kura ...
10/30/2010

CCM Yahitimisha Kampeni Jangwani Leo. JK awasuta wanao beza maendeleo

›
   Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Jakaya Kikwete, akihutubia maelfu ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam na vitongoji vyake, waka...

Mkutano wa Kampeni Jangwani - Mzee Ruksa na Mkapa wampigia chapuo JK

›
Rais mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa akimpongeza Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam. ...

Mkutano wa Kampeni Jangwani, Dar es salaam

›
Baada ya siku 69 za kampeni kutetea kiti chake cha urais, Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduz...
10/29/2010

Mkutano wa Mgombea Urais wa CCM na waandishi wa habari - Picha

›

Mazungumzo ya Mheshimiwa Kikwete na waandishi wa habari

›
Baadhi ya wageni waalikwa wakisikiliza mazungumzo ya Mheshimiwa Kikwete na waandishi wa habari Wawakilishi wa TBC Susan Mongy na ITV ...

Mazungumzo ya Mheshimiwa Jakaya Kikwete na waandishi wa habari Leo

›
Mheshimiwa Kikwete akiwa kwenye mazungumzo na wawakilishi wa vituo mbalimbali vya televisheni nchini usiku wa leo Baadhi ya waalikwa ...
›
Home
View web version

About Me

jakaya2010kikwete
View my complete profile
Powered by Blogger.