6/22/2010

Shamrashamra za Mwenyekiti wa CCM Kuchukua Fomu Dodoma Leo

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa na baadhi ya wanawe wakati Rais Kikwete akichukua fomu za ugombea Rais katika makao makuu ya CCM Mjini Dodoma leo asubuhi(picha na Freddy Maro)
Katibu Mkuu wa Chama Cha mapinduzi Yusuf Makamba akimkabidhi foumu ya kugombea Urais, Rais Jakaya Mrisho kikwete katika makao makuu ya CCM mjini dodoma leo asubuhi.