6/30/2010

Rais Kikwete atua Dodoma tayari kurudisha fomu kesho









Mamia ya wana CCM na wakazi wengine wa mjini Dodoma wakishuhudia ndege ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete ikitua uwanja wa ndege wa mjini Dodoma. Rais Kikwete yuko hapa mjini tayari kwa kurudisha fomu za udhamini wa kugombea urais kupitia chama tawala cha CCM. Zoezi hili linategemewa kufanyika kesho tarehe 1 Julai 2010.

No comments:

Post a Comment