6/24/2010

Zoezi la Udhamini Na wana UVCCM






































Vijana wa CCM kutoka kwenye vyuo vikuu mbalimbali nchini wanapita mikoa yote nchini kwa niaba ya mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Nd. Jakaya Mrisho Kikwete. Huu ni msafara wa wana UVCCM wanaosaka wadhamini Kanda D Mikoa ya Kaskazini Magharibi mwa Tanzania. Kundi hili linaongozwa na Iddi Kapango.

No comments:

Post a Comment