7/11/2010

Burudani kwenye Mkutano Mkuu CCM Kizota leoMsanii wa kizazi kipya Marlow akitumbuiza wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma Leo. Msanii huyu amebadilisha maneno ya wimbo wake maarufu wa Pipi kwa maneno ya Mkutano Mkuu wa CCM. Hakika anatoa burudani ya hali ya juu. Baada ya show hii, Marlow alipanda jukwaani kusalimiana na Mwenyekiti wa CCM, Jakaya Mrisho Kikwete.

No comments:

Post a Comment