7/11/2010

Mzee Kingunge aunguruma Kizota - Atoa muhtasari wa mwelekeo wa sera za CCM 2010 - 2020


Mkongwe wa siasa nchini Tanzania Mh. Kingunge Ngombale Mwiru leo ametoa muhtasari wa mwelekeo wa sera za CCM katika miaka 2010 hadi 2020. Kwa kifupi mwelekeo huu umebeba sura kuu zifuatazo:-
1. Ujenzi wa Uchumi wa Kisasa
2. Uwezeshaji wa wananchi kiuchumi
3. Kutumia fursa za kijiografia ili kusukuma maendeleo
4. Huduma za kijamii
5. Utawala Bora, Demokrasia na Madaraka kwa Wananchi
6. Hifadhi ya Mazingira
7. Utamaduni na Michezo
8. Siasa y aMambo ya Nje na Uhusiano wa Kimataifa
9. Ulinzi na Usalama

Mheshimiwa Kingunge amefafanua kwa kifupi maeneo yaliyopewa kipaumbele maalum katika mwelekeo huu kama ifuatavyo:-
1. Elimu: Kuendeleza masomo ya sayansi na utafiti wa kisayansi ili kupata wataalamu wengi zaidi wa kuendeleza nchi yetu.
2. Kilimo: Mapinduzi ya kilimo ni muhimu ambapo kilimo cha kisasa kitaendelezwa
3. Mapinduzi ya Viwanda: Kuendeleza viwanda vya nyumbani vizalishe zaidi na kuendeleza sekta nyinginezo kama kilimo
4. Nishati: Tujenge uwezo kama nchi wa kuzalisha nishati
5. Miundombinu : Barabara, madaraja, bandari
6. Kuwawezesha wananchi kiuchumi

1 comment:

  1. I AM A BIG FAN AND BELIEVER OF CCM'S POLICIES, I ENTERED INTO CCM WHEN I WAS AT MAZENGO HIGH SCHOOL MORE THAN 20 YEARS AGO STILL I HAVE THE CCM MEMBERSHIP CARDS PLUS THAT OF YOUTH, ALTHOUGHT I CAN ADMIT THAT I DID NOT PARTICIPATE FULLY SINCE THEN DUE TO LIFE/MAHANGAIKO YA DUNIA. BUT I HAVE BEEN FOLLOWING CCM UNTIL NOW VERY CLOSELY, TO MY OPINION IN TANZANIA THERE IS NO OTHER POLITICAL PARTY LIKE CCM IT WILL TAKE TIME TO MATCH CCM. IT IS A PARTY WITH CLEAR VIEW WHEN IT COMES TO ITS ORGANISATION, IS NOT LIKE OTHER PARTIES. CCM IS ALWAYS THERE BE IT SUNNY OR RAINY. BUT THE OTHER PARTIES ARE PARTIES OF ELECTION YOU WILL HEAR THEM DURING ELECTION AND WHEN ELECTION IS OVER YOU WON'T HEAR THEM ANYMORE, I DONT KNOW WHY! THEY LACK COMMITMENTS TO THE PEOPLE. KIKWETE HAS DONE A LOT OF GOOD THINGS FOR A SHORT PERIOD OF TIME WITH ECONOMIC HARDSHIP AND I BELIEVE HE WILL DO MORE IF WE GIVE HIM ANOTHER CHANCE SO I ASK ALL TANZANIANS TO GO AND VOTE FOR HIM ONCE MORE KWA KISHINDO. MIMI NATAKA ACHA LEGACY - KUMBUKUMBU AMBAYO RAIS AJAYO ATOKWE NA JASHO KUUIFIKIA, NATAKA KIKWETE AIGEUZE TANZANIA KUWA NCHI YA ASALI NA MAZIWA YENYE UONGOZI BORA WA HAKI NA SHERIA FREE FROM RUSHWA UNAOJALI WATU NA SHIDA ZAO HILO LINAWEZEKANA KAMA TUKIICHAGUWA CCM YENYE UONGOZI BORA WA KUONA MBELE NA SISI WANANCHI TUKIWAJIBIKE KUISAIDIA KUFIKIA HAYO YA MAENDELEO KWA WOTE, CCM OYEE, OYEE, KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

    ReplyDelete