7/12/2010

Rais Jakaya Kikwete amtambulisha Mgomea Mwenza Jamhuri Stadium Dodoma


Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha mgombea mwenza Dr.Mohamed Gharib Bilal kwa wananchi wa mji wa Dodoma leo jioni katika hafla fupi iliyofanyika katika uwanja wa michezo wa Jamhuri.


Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia wananchi katika uwanja wa michezo wa Jamhuri mjini Dodoma leo jioni wakati wa kuwatambulisha mgombea mwenza na mgombea Urais wa Zanzibar leo jioni.


No comments:

Post a Comment