7/11/2010

Mwenyekiti wa CCM apiga Kura Mkutanono Kizota Leo


Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga kura ya kumthibitisha kuwa mgombea wa uris kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi wakati wa mkutano mkuu unaofanyika katika ukumbi wa Kizota mjini Dodoma leo asubuhi.

Wahudumu wakibeba visanduku vya kura tayari kwenda kuhesabiwa baada ya wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM kupiga kura leo mchana


Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Zanzibar Amani Abeid Karume wakitoka nje wa ukumbi wa mkutano wa Kizota wakati wa mapumziko mafupi ili kutoa nafasi ya kura kuhesabiwa.

Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Bi.Ashura Abeid Faraji kutoka Zanzibar akimsalimia mwenyekiti wa CCM , Rais Jakaya Mrisho Kikwete nje ya ukumbi wa mikutano wa Kizota wakati wa mkutano mkuu wa CCM unaofanyika mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment