7/09/2010

Kamati Kuu ya CCM yaanza Mjini Dodoma Leo

Vikao vya Kamati Kuu ya CCM vimeanza leo mjini Dodoma ambapo wajumbe wengi wa Mkutano Mkuu wameanza kuwasili mjini hapa kutoka pande zote za Tanzania. Dodoma mjini pamejaa shamrashamra na ni kijani na njano tu ndiyo inayotawala hapa. Kesho Ijumaa Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kitafanyika ambapo mojawapo ya agenda ya kikao hiki ni kuchagua Mgombea Urais Zanzibar kupitia CCM.

No comments:

Post a Comment