7/10/2010

Waziri Mkuu na Waziri Kiongozi wakielezea utekelezaji wa Ilani ya CCM 2005 - 2010Waziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda akielezea utekelezaji wa ilani ya CCM kwa mwaka 2005 - 2010 katika Mkutano Mkuu wa Tisa wa Chama Cha Mapinduzi Kizota, Dodoma.Waziri Kiongozi Mheshimiwa Shamsi Vuai Nahodha akielezea utekelezaji wa ilani ya CCM kwa mwaka 2005 - 2010 katika Mkutano Mkuu wa Tisa wa Chama Cha Mapinduzi Kizota, Dodoma.

No comments:

Post a Comment