7/10/2010

Burudani ya Baada ya mapumziko ya Chakula Cha Mchana

Bi Khadija Kopa na TOT in the house, CCM Chama Kubwa. Hawa walikuwa wa kwanza kutumbuiza. Wajumbe wanamshangilia sana na kumtunza. Aliyefungua dimba kutunza ni Mh. Ole Sendeka na wengine wake wa viongozi na wajumbe kutoka mikoa kadha wa kadha walifuata akiwepo Mama Karume, Mama Kawawa na wengine wengi.
Baadhi ya maneno ya Bi Kopa na wimbo wake huu maarufu ni "Bado nipo nadunda, nanata" "lijimama la kinondoni, mapedejee wananipigia saluti"
Hakika ni burudani.

No comments:

Post a Comment