7/11/2010

Dr. Gharib Bilal ateuliwa kuwa mgombea mwenzaMwenyekiti wa CCM ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwatambulisha Mgombea Urais wa Zanzibar Dr.Ali Mohamed Shein(kushoto) na mgombea mwenza bara Dr.Mohamed Gharib Bilal kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM usiku baada ya mkutano kufungwa

(Picha na Freddy Maro)


(Picha za maktaba)


Shangwe na vigelegele vimeibuka sasa hivi hapa ukumbini Kizota baada ya Mwenyekiti wa CCM Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kutangaza rasmi uteuzi wake wa Dr. Bilal kuwa mgombea mwenza kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba, 2010.

1 comment:

  1. CCM INATISHA MWAKA HUU ATASHINDA KURA ZOTE 100/100 INGEPENDEZA NA WABUNGE NA ZANZIBAR CCM ISHINDE KWA KISHINDO

    ReplyDelete