

Mgombea Mwenza wa nafasi ya urais, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akizungumza na Wananchi wo Kijiji cha Nanguruwe Wilaya ya Mtwara Vijijini baada ya kusimama eneo hilo, wakati aha akielekea Kijiji cha Ntiniko katika mkutano wa kunadi Ilani ya Chama cha Mapinduzi leo mchana Agost 29.
No comments:
Post a Comment