8/03/2010

Mwenyekiti CCM Taifa awaasa wana CCM Lumumba - Ushindi ni Lazima!

1 comment:

  1. Salama Admin wa hii blog ya ccm,kwa kweli nimefurahi sana kuona vitu vizuri,Mmojawapo wa wakereketwa na pia mwanachama wa ccm shina la Reading napenda kum support Mh Rais wa 2015 ,Kwa hiyo nilikuwa ninaomba kupata picha na matukio mbalimbali ya kampeni ila na mimi niweze kuweka kwenye blog yangu ambayo ipo tayari kutoa kila kitu hewani ku support Mh Rais JK.
    Blog yangu www.musoma-tanzania.blogspot.com utaona address zangu if ya right click or chini kabisa.Mwisho namtakia Rais safari njema na kokote aendapo.Nasubiri majibu

    ReplyDelete