8/14/2010

Rais Kikwete aongoza Kikao Cha Halmshauri Kuu ya CCm Taifa mjini Dodoma leo

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha halmashauri kuu ya CCm Taifa mjini Dodoma leo asubuhi.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Rais Mstaafu awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa, Rais Mstaafu awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi,Makamu wa CCM Bara Pius Msekwa na kulia nia katibu mkuu wa CCM Yusuf Makamba.
(Picha na Freddy Maro).

Baadhi ya wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa wakiwa katika kikao leo mjini Dodoma.

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri Mkuu Mizengo Pinda muda mfupi kabla ya kuanza kwa kikao cha Halmshauri Kuu ya CCM Taifa mjini Dodoma leo asubuhi.Katikati ni Katibu mkuu wa CCM Yusuf Makamba.

No comments:

Post a Comment