8/19/2010

Rais Kikwete arudisha fomu Leo
Msafara wa Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, (CCM),Rais Jakaya Mrisho Kikwete ukipita katika barabara ya Ohio na kuingia kwenye barabara ya Ghana yalipo Makao Makuu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa ajili ya kurejesha fomu tarehe 19.8.2010

Picha na John Lukuwi - Maelezo

No comments:

Post a Comment