8/24/2010

Rais Kikwete anguruma Bukoba mjini na vijijini

Kinamama wa Bukoba mjini wakimshangilia Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipokuwa akihutubia umati wa wana Bukoba katika uwanja wa Mashujaa jioni hii.
Wakina mama wawili wa Bukoba vijijini wakimsikiliza Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kwa makini akielezea mafanikio yaliyopatikana katika kipindi cha miaka mitano iliyopita.
Wananchi Bukoba vijijini wakisikiliza hotuba jioni hii
Sehemu ya umati katika mkutano huo uwanja wa Mashujaa
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akimnadi
mgombea ubunge wa Bukoba vijijini Bw. Rweikiza
Babu hakubali kupitwa...
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ns wagombea ubunge na udiwani wa Bukoba
Kinamama wakimshangilia Mheshimiwa Jakaya Mrisho KIikwete
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akimnadi mgombea
Wazee kwa vijana walkijitokeza kumsikiliza Mh. Kikwete
Wananchi wakifurahia sera za CCM
Sehemu ya umati wa wananchi wa BukoibaNo comments:

Post a Comment