10/15/2010

Kampeni za Mheshimiwa Kikwete Leo

Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo ziko mkoani Pwani ambapo mkutano wake wa kwanza wa kampeni utakuwa Kisarawe Mjini.

Baada ya Kisarawe msafara wa Mheshimiwa Kikwete utaelekea Kibaha mkoani Pwani na baadaye kumalizia mkutano wa mwisho kwa siku ya leo Mafia.

No comments:

Post a Comment