10/18/2010

Mkutano wa Kampeni Kimanzichana, Kibiti, Utete (Pwani), Kilwa(Lindi) katika Picha

Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akimnadi mgombea ubunge jimbo la Mkuranga kwa tiketi ya CCM Adam Kighoma Malima wakati wa Mkutano wa kampeni uliofanyika huko Kimanzichana, wilayani Mkuranga leo mchana

Mgombea Urais kupitia CCM Mheshimiwa Jakaya Kikwete akiwasalimia wananchi wenye shauku wa kijiji cha Kimanzechana kilichoko wilayani Mkuranga huko Pwani tarehe 18.10.2010.

Mgombea Urais kupitia CCM Mheshimiwa Jakaya Kikwete akiwasalimia wananchi wenye shauku wa kijiji cha Kimanzechana kilichoko wilayani Mkuranga huko Pwani tarehe 18.10.2010.
Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Mheshimiwa Jakaya Kikwete akiwahutubia mamia ya wananchi wa Kimanzechana wakati alipohutubia mkutano wa kampeni kijijini hapo tarehe 18.10.2010.

Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Mheshimiwa Jakaya Kikwete akiwahutubia mamia ya wananchi wa Kimanzechana wakati alipohutubia mkutano wa kampeni kijijini hapo tarehe 18.10.2010.
Mgombea urais kwa tiketi ya CCM akiwa ambeba mtoto wa miaka miwili Asia Ndomondo muda mfupi baada ya kuwasili katika mji wa Kibiti na kuhutubia katika mkutano wa kampeni mjini hapa leo.

Mgombea uris wa Tanzania kupitia CCM, Jakaya Kikwete, akisalimiana na wananchi wakati akiwasili kuhutubia mkutano wa kampeni huko Utete-Rufiji mkoani Pwani leo.

Mgombea uris wa Tanzania kupitia CCM, Jakaya Kikwete, akisalimiana na wananchi wakati akiwasili kuhutubia mkutano wa kampeni huko Utete-Rufiji mkoani Pwani leo.

Wafuasi wa CCM, wakiimba na kupeperusha khanga, wakati wakimpokea mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Jakaya Kikwete wakati akiwasili kwenye mkutano wa kampeni huko Utete Rufiji mkoani Pwani leo.

No comments:

Post a Comment