10/19/2010

Mkutano wa Kampeni Njinjo, Liwale, Ruangwa, Nachingwea Lindi katika Picha


Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Jakaya Kikwete, akimnadi mgombea ubunge jimbo la Nachingwea, mkoani Lindi, Mathias Chikawe kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika uwanja wa Sokoine mjini Nachingwea Oktoba 19, 2010.

Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Jakaya Kikwete, akizungumza na mkazi wa Liwale, Jivunie Bakili Mbunda mara baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni huko Liwale mkoani Lindi jana.

Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Jakaya Kikwete, akimnadi mgombea ubunge jimbo la Liwale mkoani Lindi, Mama Mitambo kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika jimboninhumo leo.

Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, akisindikizwa na mwenyekiti wa CCM, mkoani Lindi mzee Mtopa, akipungia wananchi mara baada ya kuwasili kwa helikopta wilayani Liwale mkoani Lindi tayari kuhutubia mkutano wa kampeni Oktoba 19, 2010

Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Jakaya Kikwete, akiwaslili kwenye mkutano wa kampeni, huko Liwale mkoani Lindi, huku akisalimiana na wananchi waliofika kumsikiliza leo.

Mfuasi wa CCM, akishangilia hotuba ya mgombea urais wa tanzania Jakaya Kikwete, wakati alipohutubia mkutano wa kampeni huko Liwale mkoani Lindi Oktoba 19, 2010

CCM Oyyyee

Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Jakaya Kikwete, akihutubia maelfu ya wakazi wa mjini Nachingwea mkoani Lindi, kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika uwanja wa Sokoine mjini humo Oktoba 19, 2010.

Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Mheshimiwa Jakaya Kikwete akiwasalimia wananchi wa mji wa Ruangwa ulioko mkoani Lindi alikoenda kufanya mkutano wa kampeni  tarehe 19.10.2010.

Rais Jakaya Kikwete akimsalimia Mwenyekiti wa vijana wa shirika la Serve the Children tawi la Ruangwa Fauzia Omar Ching'ong'ole ambaye ni mlemavu wa ngozi wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika mjini Ruangwa tarehe 19.10.2010.

Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Mheshimiwa Jakaya Kikwete akiwasalimia wananchi wa mji wa Ruangwa ulioko mkoani Lindi alikoenda kufanya mkutano wa kampeni  tarehe 19.10.2010.


Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ambaye ni Mgombea Urais kupia CCM akihutubia wananchi wa mji wa Ruangwa, mkoani Lindi kwenye mkutano wa kampeni tarehe 19.10.2010.

No comments:

Post a Comment