10/01/2010

Mkutano wa Kampeni Kiomboi: Picha

Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia mkutano wa kampeni Kiomboi Singida jioni ya leo tarehe 1.10.2010


Kikundi cha ngoma cha Kiomboi kikitumbuiza umati mkubwa wa watu uliofika kwenye mkutano wa kampeni za Mheshimiwa Kikwete Kiomboi Singida. Kikundi hicho kilitambulishwa kama Makirikiri ya Singida.

Mapokezi ya chipukizi wa Chama Cha Mapinduzi kwa Mheshimiwa Kikwete mara baada ya kuwasili Kiomboi, Iramba Mkoani Singida.


"Bahari ya Mikono" au "sea of hands" Mheshimiwa Kikwete akisamilimiana na wananchi wa Kiomboi Singida leo

No comments:

Post a Comment