10/03/2010

Mkutano wa Kampeni Itigi: PichaWananchi wakimpungia mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Jakaya Kikwete, wakati akiwasili kuhutubia mkutano wa kampeni huko Tarafa ya Itigi mkoani Singida mchana. Mgombea huyo amewasili Dodoma jioni hii.


<>
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Jakaya Kikwete, akiongozana na bibi kizee huyu, Khadija Ali Kimwaga, wakati akiwasili kuhutubia wananchi huko Itigi mkoani Singida leo mchana.


Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Jakaya Kikwete, akidansi mara aada ya kuhutubia mkutano wa kampeni huko Itigi mkoani Singidea jana mchana.


No comments:

Post a Comment