10/20/2010

Mkutano wa Kampeni Nyangao, Mchinga, Lindi Mjini katika picha

Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Jakaya Kikwete, akimnadi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na mgombea ubunge jimbo la Mtama mkoani Lindi, Benard Membe, kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika jana jimboni humo.

Wafuasi wa CCM, wakimshangilia mgombea urais wa tanzania kupitia CCM, Jakaya Kikwete, wakati akiwasili kuhutubia mkutano wa kampeni jana kwenye jimbo la Mtama mkoani Lindi jana.

Wafuasi wa CCM, wakimshangilia mgombea urais wa tanzania kupitia CCM, Jakaya Kikwete, wakati akiwasili kuhutubia mkutano wa kampeni jana kwenye jimbo la Mtama mkoani Lindi jana.

Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Jakaya Kikwete, akipungia wananchi wakati akiwasili kuhutubia mkutano wa kampeni jimbo la Mtama mkoani Lindi leo
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mheshimiwa Jakaya Kikwete akihutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Mtama lililoko katika wilaya ya Lindi tarehe 20.10.2010.

Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Lindi, Mzee Mtopa, akitoa hotuba ya ukaribisho kwenye mkutano wa kampeni uliohutubiwa na mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Jakaya Kikwete jana kwenye jimbo la Mtama.

Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Mheshimiwa Jakaya Kikwete akisalimiana na wananchi mbalimbali wenye shauku ya kukutana naye wakati alipowasiri kwenye mkutano wa kampeni katika jimbo la Mtama katika mji wa Nyangao huko Lindi tarehe 20.10.2010.

Mgombea Urais wa CCM Mheshimiwa Jakaya Kikwete akiwasalimia chipukizi wa jmbo la Mtama na baadaye akiwapungia na kucheza muziki pamoja na mamia ya wananchi wa kijiji cha Nyangao, wilayani Lindi tarehe 20.10.2010.

Mara baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wa kampeni mjini Nachingwea Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi Mheshimiwa Jakaya Kikwete akishiriki kucheza muziki wa kizazi kipya na wananchi wa Nachingwea.

Wananchi wakimsikiliza mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Jakaya Kikwete, wakati akihutubia mkutano wa kampeni huko Mtama mkoani Lindi jana.

Wananchi wakimsikiliza mgo bea urais wa Tanzania kupitia CCM, Jakaya Kikwete, wakati akihutubia mkutano wa kampeni huko Mtama mkoani Lindi leo.

No comments:

Post a Comment