10/27/2010

Mkutano wa Kampeni Mwembeyanga (Temeke) - JK afunika TMK (Picha)

Akiwa jukwaani Mgombea Urais kupitia CCM Mheshimiwa Jakaya Kikwete akiwapungia wananchi wa Temeke mara tu baada ya kwasili kwenye mkutano wa kampeni huko Mwembeyanga tarehe 27.10.2010.
 
Wanamuziki wa kizazi kipya wakiporomosha muziki muda mfupi kabla ya Mgombea Urais kupia CCM Mheshimiwa Jakaya Kikwete kuhutubia mkutano wa kampeni huko Mwembeyanga tarehe 27.10.2010.
 
Umati mkubwa wa wananchi waliofurika kwenye mkutano wa kampeni wa CCM uliofanyika huko Mwembeyanga na kuhutubiwa na Rais kikwete.

Umati mkubwa wa wananchi waliofurika kwenye mkutano wa kampeni wa CCM uliofanyika huko Mwembeyanga na kuhutubiwa na Rais kikwete.
No comments:

Post a Comment