10/21/2010

Mkutano wa Kampeni Newala katika picha

Mgombea Urais kupitia CCM Mheshimiwa Jakaya Kikwete akiwasalimia wananchi na wacheza ngoma wa wilaya ya Newala wakati wa mkutano wa kampeni alioufanya mjini hapo tarehe 21.10.2010.
  Mgombea Urais kupitia CCM Mheshimiwa Jakaya Kikwete akimpa mkono mtoto mmoja ambaye jina lake halikupatikana mara moja wakati alipowasiri kwenye mkutano wa peni huko Newala tarehe 21.10.2010.

Rais Jakaya Kikwete ambaye pia ni Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi akiwasalimia wananchi wa Newala waliokuwa na shauku kubwa ya kumuona wakati alipofika mjini hapo kwa ajili ya mkutano wa kampeni tarehe 21.10.2010.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia MAELFU YA Wananchi wa Wilaya ya Newala muda mfupi kabla ya kuhutubia mkutano mkubwa wa Kampeni mjini Newala leo mchana

No comments:

Post a Comment