9/16/2010

JK aiteka Bomang'ombe, 43 wa Chadema waingia CCMBaada ya kupewa mapokezi ya kishindo ya JK Bomang'ombe, wana Hai wamehamasika na hatimaye 43 wa Chadema wamkabidhi kadi Mwenyekiti wa CCM kadi na kuingia CCM.

Pichani, Mwenyekiti wa Chadema wa kitongoji Miseyeki Selei (maarufu kama Masaai) akimkabidhi Mheshimiwa Kikwete kadi za Chadema na kusema kuwa yeye na wenzake 42 wameamua kuagana na upinzani kwa sababu ya kukosa maendeleo kwa muda mrefu.

"Mimi na wenzangu tumeamua (ku)fanya maamuzi ya busara, tunaingia CCM leo" alisema Masai huku akishangiliwa na umati mkubwa wa watu.

No comments:

Post a Comment