9/21/2010

Mkutano wa Kampeni Iringa Mjini - JK na Mwakalebela waiteka Iringa Mjini

Umati mkubwa wa watu wakisikiliza hotuba ya Mgombea Urais wa CCM Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete alipokuwa akinadi sera za CCM kwenye mkutano mkubwa wa kampeni Iringa Mjini.
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mmoja wa walioshiriki kwenye mchakato wa kura za maoni kuwania uwakilishi wa ubunge kupitia CCM Iringa Mjini, Fredrick Mwakalebela ambnaye alivunja kambi yake rasmi baada ya mkutano mkubwa wa kampeni uliowaunganisha wananchi wa Iringa Mjini.

Kikundi cha Ze Origino Komedi nacho kilikuwepo uwanjani kikihamasisha watu wajitokeze kwa wingi kupigia kura CCM

- Mwakalebela Avunja Kambi Rasmi

- Awasihi wana CCM kuungana na kukigombania Chama

- JK afurahia hotuba yake, amkumbatia kwa furaha

No comments:

Post a Comment