9/13/2010

Mheshimiwa Kikwete asalimiana na wananchi wa Mshewa


Msafara wa Mheshimiwa Kikwete ukilakiwa na umati wa wananchi wa Mashewa wilayani Korogwe, Mkoa wa Tanga. Alipokuwa wilayani hapo, Mgombea urais alisimama pia vijiji vya Daluni, Magoma, Kwemazandu na Kilole.

No comments:

Post a Comment