9/16/2010

Kampeni za Mheshimiwa Kikwete Leo

Kampeni za mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo zinaanzia Old Moshi na baadaye Kibosho na Kwasadala.
Msafara huo leo unaoingia siku ya pili kwenye Manispaa ya Moshi leo kutokea Kwasadala utaelekea Bomang'ombe na baadae Siha.
Kutokea Siha, msafara wa Mheshimiwa Kikwte utaingia Mkoani Arusha na kufanya mkutano wa kampeni Usa River na Arusha Mjini kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid

No comments:

Post a Comment